Adam Mchomvu alikuwa na maana gani kwa hii kauli yake?

real toxic

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
533
Reaction score
104
Hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi?

Je, kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI?
 
hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi......!!!!?????? je?? kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI???

Alimwambia hivo au ni "wimbo wako ni mbaya sana?" Adam ni mtu wa kojes je wakti anamwambia ilikuwa seriously au? kama ni mbaya kweli basi ni safi alivyomwambia au wewe huo wimbo ulipna ni mbaya?
 
Huyo jamaa anamatani ya kijinga asana!!
 
jamaa kaitwa studio kachelewa kutokea kufika mapokezi wakamzingua underground kaanza kulia wakamuomea huruma kufika ndani anamkuta mchomvu uku kashapanic katoa msong wake jamaa kamchana vibaya....yanii kilio kiliongezeka kama mtoto vile.Me naona poa kama una ngoma mbaya ndo usiambiwe sema mazigiracya kumwambia ndo sio ishu
 
ndo hivyo mazingira ya kumwambia ndo tatizo
 
Alimwambia hivo au ni "wimbo wako ni mbaya sana?" Adam ni mtu wa kojes je wakti anamwambia ilikuwa seriously au? kama ni mbaya kweli basi ni safi alivyomwambia au wewe huo wimbo ulipna ni mbaya?
ila KOJES zake ziko poa sana
 
simpendi kabisa Adam Mchomvu hana chembe ya adabu haijalish yupo wap na nan,hzo madawa anayotumia yanamharibu,sikupendi chariii mchomvu,sikupendi kabisa toka moyoni.
 
Mkudaa tu mchomvu, afu mibangee inamuharubu.
 
mimi naona adam alikuwa ryt kabisa..kwanza watu hamjaangalia upande wa pili mbona alimwambia kama ngoma ikiwa nzuri ataperform fiesta so t waz bad dats y ilibid aambiwe ukweli.......
 
hahahaha baba johnyy baba la baba me sioni kama amefanya kosa kusema ukweli
 
hahaha kweli jamaa songi baya.. adam alikua right kabisa. hata producer wake ameshindwa kumsahihisha studio amekula pesa then kampa utumbo apeleke clouds
 
simpendi kabisa Adam Mchomvu hana chembe ya adabu haijalish yupo wap na nan,hzo madawa anayotumia yanamharibu,sikupendi chariii mchomvu,sikupendi kabisa toka moyoni.

yaaani yule jamaa ni nouma sana ANABOA YAAANI Kuum..........ake
 
Back
Top Bottom