real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 533
- 104
hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi......!!!!?????? je?? kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI???
Huyo jamaa anamatani ya kijinga asana!!hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi......!!!!?????? je?? kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI???
Nani huyo kaambiwa hivyo?
jamaa kaitwa studio kachelewa kutokea kufika mapokezi wakamzingua underground kaanza kulia wakamuomea huruma kufika ndani anamkuta mchomvu uku kashapanic katoa msong wake jamaa kamchana vibaya....yanii kilio kiliongezeka kama mtoto vile.Me naona poa kama una ngoma mbaya ndo usiambiwe sema mazigiracya kumwambia ndo sio ishu
unavyoelezea utafikiri wote tulikuwa tunasilikiliza hiko kipindi
ila KOJES zake ziko poa sanaAlimwambia hivo au ni "wimbo wako ni mbaya sana?" Adam ni mtu wa kojes je wakti anamwambia ilikuwa seriously au? kama ni mbaya kweli basi ni safi alivyomwambia au wewe huo wimbo ulipna ni mbaya?
jamaa mmoja iv wa shinyanga anaitwa mateso
simpendi kabisa Adam Mchomvu hana chembe ya adabu haijalish yupo wap na nan,hzo madawa anayotumia yanamharibu,sikupendi chariii mchomvu,sikupendi kabisa toka moyoni.