Adam Mchomvu alikuwa na maana gani kwa hii kauli yake?

Sasa ulitaka amfiche kama wimbo mbaya? Ukweli ndio dawa!
Adam mchovu yuko sahihi kabisa!
Hivi hilo chozi umelionaje kwenye Radio?

Ukweli ndio utawafanya watunge nyimbo Nzuri!
 
Hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi?

Je, kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI?
Kwa hiyo mtu akiitwa kwenye kipindi ndio haambiwi ukweli?
 
Hivi ni sahihi kwa Adam Mchomvu kumwambia msanii kuwa "NYIMBO YAKO NI MBAYA SANA" mpaka msanii huyo kutoa chozi?

Je, kulikuwa na maana gani kumwita kwenye KIPINDI?

clouds wanatafuta pa kutokea...
93.7 EFM wanawachambisha kwa -----
 
mchomvu alivyotukana mbele ya rais kikwete dodoma alonikera sana alitamkaa mboo hazarani wakati wa kumtambulisha walter chilamboo

Safi kabisa, ndio Mheshimiwa ajue athari za mihadarati kwa vijana na achukue hatua.
 
Uonevu tu, angekuwa na Kala p au Ze Dudus, angempa hayo makavu on air au angevunga ?

Labda angemfariji kidogo angemwambia wimbo wke atakabidhiwa dj elly yule anayepiga usiku wa manane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…