Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
[h=3]ADAM MCHOMVU NA KAULI YA KUMCHAFUA LADY JAYDEE FACEBOOK[/h]
Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu amejikuta kwenye wakati mgumu baada leo akaunti yake ya Facebook kuonesha imepost link yenye kichwa cha habari Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa. Kutokana na post hiyo, Adam amejikuta akitukanwa matusi mengi ya nguoni kitendo kilichomlazimu aombe radhi japo anadai hakuandika yeye.