Adam Mchomvu ndani ya Wasafi TV, kunani?

Adam Mchomvu ndani ya Wasafi TV, kunani?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Leo saa tatu usiku Adam Mchomvu atakuwa ndani ya Wasafi TV sijajua kunanini. Let wait and see.

Source: Wasafi TV Instagram page
 
wenye video haya tuambien imekuaje adamu huko wasafi
 
Adamu jinga sana, badala ya ‘kufanyiwa’ kipindi likageuza kipindi chake!
 
Hakuna cha experience, aliona miyeyusho wadau kitaa hawamjui... likasema ”mambo gani haya, hakuna cha surprise wala nini”... likaanza kuongoza kipindi cha yule dogo!
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakuna cha experience, aliona miyeyusho wadau kitaa hawamjui... likasema ”mambo gani haya, hakuna cha surprise wala nini”... likaanza kuongoza kipindi cha yule dogo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahamie usafini apewe jina na kutambulika mtaani.
 
Hamna shida media zote 2 zinamilikiwa na mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom