Adam Mchomvu ushakuwa baba sasa badilika

Adam Mchomvu ushakuwa baba sasa badilika

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Hongera Kwa kupata mtoto. Sasa inabidi utulie na zile b****gi sasa uache kuziabudu na kukumbuka wewe ni baba sasa.

============

10810042_1377465119214642_1871944164_n.jpg
10897051_1600134653531263_4075195158660119819_n.png


Adam Mchomvu Mtangazaji wa kipindi cha XXL kinachoruka Clouds fm Radio hivi karibuni wa ubavu wake Aisha Mchomvu amejifunguka mtoto wa kiume na kuandika historia ya wawili hao waliodumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitano sasa, Adam amesema mtoto huyo tayari ana manager atakayesimamia biashara zake zote zitakazo muda si mrefu, na amesema Mama Mtoto na mtoto wako katika hali nzuri baada ya kujifungua salamaaaaaa, Gazeti la Makorokocho linaipongeza familia hii kupata mtoto wa kwanza.

Chanzo: Makorokocho.co
 
Asili yake, ni BORA BABA yule. Huwezi mbadili.
 
Huyu jamaa si naskia anapigwaga paipu nyuma,imekuaje kapata mtoto?
 
hebu kampe nyuma kwako akishindwa kushughulikia ulete ushahidi kuthibitisha hayo madai. Kip it up chalii
 
Back
Top Bottom