Hongera Kwa kupata mtoto. Sasa inabidi utulie na zile b****gi sasa uache kuziabudu na kukumbuka wewe ni baba sasa.
============
Chanzo: Makorokocho.co
============
Adam Mchomvu Mtangazaji wa kipindi cha XXL kinachoruka Clouds fm Radio hivi karibuni wa ubavu wake Aisha Mchomvu amejifunguka mtoto wa kiume na kuandika historia ya wawili hao waliodumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitano sasa, Adam amesema mtoto huyo tayari ana manager atakayesimamia biashara zake zote zitakazo muda si mrefu, na amesema Mama Mtoto na mtoto wako katika hali nzuri baada ya kujifungua salamaaaaaa, Gazeti la Makorokocho linaipongeza familia hii kupata mtoto wa kwanza.
Chanzo: Makorokocho.co