Adam Mchomvu wa Clouds FM apata Scholarship ya kwenda kusoma China

Adam Mchomvu wa Clouds FM apata Scholarship ya kwenda kusoma China

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
HBm59r

Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchomvu ni mmoja kati ya wabunifu wa mavazi wachanga watakaopelekwa na THT nchini China kujifunza zaidi fani hiyo.

Akiongea kweye 255 ya XXL, mwanzilishi wa kituo hicho na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amedai kuwa Adam ni designer mzuri anayetakiwa kupewa elimu ya umaliziaji ili aive.

Ruge amemwelezea Mchomvu kama mtu mwenye kipaji na mwenye ubunifu mkubwa. Hivi karibuni kituo cha THT kilianza kujihusisha pia na masuala ya ubunifu wa mitindo.

Chanzo: Bongo5
 
scholarship za china lazima apoteze kwanza zaidi ya mwaka mmoja kujifunza kichina ndo aendelee na masomo,kaingizwa choo cha kike

Kwani umeambiwa hiyo scholorship wametoa wachina ndio apewe hayo masharti ya kusoma lugha yao? Halafu kujifunza lugha kubwa kama kichina ni kuingizwa choo cha kike? Ama kweli kuna watu mna upeo mdogo sana wa kutazama mambo!
 
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofa
 
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofa

Hujitambui wewe kichwa maji! China kuna vyuo kibao visivyo na masharti ya kijifunza kichina kwanza. Ni pesa yako tu acha kukariri.. masharti yapo kama wao ndio wanakupa hiyo scholarship kama ilivyo kwa wajerumani!
 
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofa

Si lazima kusoma kichina kama unajilipia binafsi...

Scholarships za CSC au za vyuo vya kichina ndio huwa na masharti ya ulazima kwa mwanafunzi kujua Kichina na kufanya mtihani wa HSK (Hanyu Shuiping Kaoshi)...

Beijing, Shanghai na miji mingine kuna vyuo vingi tu vinatoa kozi kwa lugha ya Kiingereza isipokuwa kozi zitolewazo kwa Umombo huwa gharama kidogo...

"Ni ming bai le ma?"
 
Si lazima kusoma kichina kama unajilipia binafsi...

Scholarships za CSC au za vyuo vya kichina ndio huwa na masharti ya ulazima kwa mwanafunzi kujua Kichina na kufanya mtihani wa HSK (Hanyu Shuiping Kaoshi)...

Beijing, Shanghai na miji mingine kua vyuo vingi tu vinatoa kozi kwa lugha ya Kiingereza isipokuwa kozi zitolewazo kwa Umombo huwa gharama kidogo...

"Ni ming bai le ma?"

Asavali umeeleza vzr
 
😂😂😂😂😂 umenifurahisha Sana michael western ila mwili wako bado umebaki ghorofaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Hii sheria nije tu ,mnaoita wenzenu mashoga mjiandae kwenda segerea
 
Itabid awe makini sana asije akabebeshwa kete

Bora abebeshwe kete kuliko kua shoga maana mambo ya ubunifu wa mavazi na ushoga ni kama tanzania na umasikini mfano ni akina remtullah,kadinda,D&G(docell &gabana)
 
Back
Top Bottom