Makofi kwake tafadhali..
scholarship za china lazima apoteze kwanza zaidi ya mwaka mmoja kujifunza kichina ndo aendelee na masomo,kaingizwa choo cha kikelugha inapanda asijetuaibisha uko au asisahau kubeba dictionary ya swahili & english
scholarship za china lazima apoteze kwanza zaidi ya mwaka mmoja kujifunza kichina ndo aendelee na masomo,kaingizwa choo cha kike
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofaKwani umeambiwa hiyo scholorship wametoa wachina ndio apewe hayo masharti ya kusoma lugha yao? Halafu kujifunza lugha kubwa kama kichina ni kuingizwa choo cha kike? Ama kweli kuna watu mna upeo mdogo sana wa kutazama mambo!
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofa
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofa
Si lazima kusoma kichina kama unajilipia binafsi...
Scholarships za CSC au za vyuo vya kichina ndio huwa na masharti ya ulazima kwa mwanafunzi kujua Kichina na kufanya mtihani wa HSK (Hanyu Shuiping Kaoshi)...
Beijing, Shanghai na miji mingine kua vyuo vingi tu vinatoa kozi kwa lugha ya Kiingereza isipokuwa kozi zitolewazo kwa Umombo huwa gharama kidogo...
"Ni ming bai le ma?"
hata iwe scholarship anapewa na ruge au wachina wenyewe ndo hivo,nina uzoefu we kweli ubongo wa dagaa mwili gorofa
Hii sheria nije tu ,mnaoita wenzenu mashoga mjiandae kwenda segerea
Itabid awe makini sana asije akabebeshwa kete