GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mmeshajua kuwa Adam Mchomvu hapendi Shobo na kwamba ukijaa tu katika 18 zake Unachapika kwa Kipondo chake Tukuka na cha Kishalubela kwanini Umchokoze?
Nimefurahi mno alivyotoa Dozi kwa mwana Yanga Mmoja na Msanii huku Yeye Adam Mchomvu akiwa ni mwana Simba Kindakindaki Mwenzangu.
Hopeless kweli yaani Umealikwa Studioni kufanya Interview badala ya kufanya Kilichokupeleka Wewe unaanza Majungu na Kumfumba Mtu ili mradi tu Kumchafua na Kumkomoa ili wanaosikiliza Kipindi wamuone Mtukutu na hafai.
Kama Wote hapa mkimsema vibaya Adam Mchomvu kwa Ushujaa wa Kuadabisha Wajinga ( Mangumbaru ) Mimi GENTAMYCINE nipo na nitamtetea mno hapa mpaka pale Wapuuzi watakapobadilika.
Ukishoboka kwa Masela na Wahuni Unapigwa tu Kudadadeki hakuna namna. Tusizoeane sana na Kibwege bwege hapa duniani halafu Kujuana pia isiwe taabu.
Imeisha hiyo.......!!!!!!