Adam Nditi, Rising Star!

Moderator

Supervisor
JF Staff
Joined
Nov 29, 2006
Posts
703
Reaction score
1,151
YouTube - BBC South Today News

[FONT=verdana,geneva]Adam Nditi (Football) Adam is a very focused and dedicated footballer who has learnt that to achieve you have to work hard and not take anything for granted. He is proud to have had the opportunity to prove to Chelsea he is capable of going all the way in the sport he loves. Adam was selected to play in U15 matches for Chelsea Football Club 1st Team and played in the Northern Ireland milk Cup with Chelsea where he won the Team Player Award for the tournament.[/FONT]

source; Junior Sportsmen and Women
 
...huyu dogo naskia ana train na Chelsea 1st team sasa, soon tutasikia anacheza Carling Cup, au friendlies. I wish angekuja Arsenal Academy lakin aahh, haya tu.
Bro Erick alishajionea soka la Bongo majungu matupu, anatamani mwanae aje kuichezea England siku moja.
Maambo hayo.
 
Dogo anacheza Chelsea's youth team jana nimemwona akicheza zidi ya Southampton, Ingawa aliingia kipindi cha pili hakuweza zuia Chelsea kufungwa. Dogo yuko vizuri sijajua uraia wake ukoje!
 
Dogo anacheza Chelsea's youth team jana nimemwona akicheza zidi ya Southampton, Ingawa aliingia kipindi cha pili hakuweza zuia Chelsea kufungwa. Dogo yuko vizuri sijajua uraia wake ukoje!

Bwana wee, aaah...si unamsikia kwenye mahojiano hapo baba'ke anataka aje achezee England?
Inawezekana soon 'tukampoteza.' Anyway, ndio maisha, muhimu mkono uende kinywani.
Baba'ke, Eric Nditi alikuwa winga mkali sana enzi hizo Kikwajuni ya Unguja...
 
Hivi katika ahadi za Mkwere... Swala la uraia wa nchi 2 bado hajaahidi au atahidi siku atakapo kutana na wale Puppets wa UV-CCM U-Dom?
 
Dogo anacheza Chelsea's youth team jana nimemwona akicheza zidi ya Southampton, Ingawa aliingia kipindi cha pili hakuweza zuia Chelsea kufungwa. Dogo yuko vizuri sijajua uraia wake ukoje!
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia nilieongea nae February mwaka jana,wao wangependa awe mwingereza kuliko uraia wake wa asili yaani Tanzania visiwani
 
Hivi katika ahadi za Mkwere... Swala la uraia wa nchi 2 bado hajaahidi au atahidi siku atakapo kutana na wale Puppets wa UV-CCM U-Dom?
Mkuu, uraia wa nchi mbili au hata zaidi ya hapo,hapa kwetu ni kwa wahindi tu. Hao ndo kwao ni kama walishapewa go ahead, sisi wengine tulie tu, tucheke tuna mbavu..!
 
Mkuu, uraia wa nchi mbili au hata zaidi ya hapo,hapa kwetu ni kwa wahindi tu. Hao ndo kwao ni kama walishapewa go ahead, sisi wengine tulie tu, tucheke tuna mbavu..!

...ha ha ha, na kweli aisee...wenye uraia wa Tanzania na Uingereza/Canada/India na Pakistani wengi na wanajulikana.
Anyway, ipo siku nasi tutapata viongozi wenye kuangalia maslahi ya mwananchi kwanza.
 
Nditi akijulikana kwa Muungwana utamsikia akisema hizi ni sera nzuri za CCM! Jamani si mnaona Mtanzania anacheza soccer UK na Chelsea? Wadanganyika kama kawaida wataanza piga makofi na kushangilia
 
I like the words " RISING STAR". All around me is falling stars especially the starts used to play in the first eleven team of Tanzanian politics. Probably he could change my thinking into becoming a little better.
 
...ha ha ha, na kweli aisee...wenye uraia wa Tanzania na Uingereza/Canada/India na Pakistani wengi na wanajulikana.
Anyway, ipo siku nasi tutapata viongozi wenye kuangalia maslahi ya mwananchi kwanza.
Na si mbali ni hapo 31 Oktoba tu.
 
Nditi akijulikana kwa Muungwana utamsikia akisema hizi ni sera nzuri za CCM! Jamani si mnaona Mtanzania anacheza soccer UK na Chelsea? Wadanganyika kama kawaida wataanza piga makofi na kushangilia

Atafunga safari na kumwalika kama alivyofanya Kwa Hasheem eti mie pia na Vijana hapa kwako Obama akamwita Hasheem....hahahahaha Muungwana bwana...
 
nasikia huyu dogo ameshapandishwa timu ya wakubwa, mwenye more info please
 
nasikia huyu dogo ameshapandishwa timu ya wakubwa, mwenye more info please
Amepewa mkataba wa miaka miwili na Chelsea FC, fungua tovuti ya chelsea FC utaona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…