Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Adam Sapi Mkwawa alishika Uspika mara mbili, kwa anayejua kwa nini atusaidie.
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya alishika miaka 2 tu baadae Adam akaja kushika tena.
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya alishika miaka 2 tu baadae Adam akaja kushika tena.