Adani anayeomba kuuendesha JKIA ndio huyu wa TPA?

Ukiacha kumchukia hayati kuna muda huwa unakuwa na akili
Simchukii ila namuona hakuwa na akili za kiuchumi,alichofauku ni kuwadhibiti Wanasiasa uchwara hao wa Upinzani ila maarifa na akili za kiuchumi hana.

Rwanda,Uganda,wapi kote Kuna Viongozi wanaowapelekea moto Wapinzani ila husikii wamevuruga biashara kitu ambacho Mwendazake akishindwa.
 
Kenya ni wajamaa?

Bure kabisa kichwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe bibi
 
SGR na bwana navyo siyo uchumi ?
 
Dr Nchimbi: Shujaa Magufuli alikuwa na KIBALI Cha Mungu wa Mbinguni

Mtanikumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
 
Nilimsoma Adani Group kule kwao India, ndio huyuhuyu? Ni kampuni moja kubwa kwenye operations za ports uko India, sijui kama wapo kwenye airports. Mmiliki ni billionaire mmoja hivi ambitious na expansion ya biashara.
Yeah uko sahihi,hawa ni wahindi wachimba makaa ya mawe ila ni wezi sana kidunia hawafai

USSR
 
Dr Nchimbi: Shujaa Magufuli alikuwa na KIBALI Cha Mungu wa Mbinguni

Mtanikumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Mtamkumbuka nyie Sasa Mimi nitamkumbuka Kwa lipi?

Hao kina Nchimbi hawajawakuta kina Sokoine, Nyerere na wajamaa wengine ndio maana anaona kama ya Magufuli ni spesho saaana au laa anacheza political mind game Kwa wasijielewa.
 
Lakini umekubali kwamba wewe ni Bibi Kwa Kadri ya post # 6 hapo juu? Tukubaliane kwanza hapa.
 
Nia ya huyu tycoon wa india sio KIA bali ame target Tanzanite utoroshaji na kuipora Tanzania urithi wa kipekee wa nchi yetu. Huyu rais haoni mbali wala usalama wa taifa haumsaidii!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…