ADC anapopanda cheo ni lazima aondolewe kwenye upambe na kupangiwa majukumu mengine?

ADC anapopanda cheo ni lazima aondolewe kwenye upambe na kupangiwa majukumu mengine?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Habari wakuu,

Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC (Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa majukumu mengine?
 
Habari wakuu,
Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC ( Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa majukumu mengine?
Ukipandishwa/ukishushwa cheo huwezi kufanya kazi hiyo hiyo, hivyo utafanya kazi kulingana na cheo chako.
 
Inategemeana na Mh. Rais kama anaona anaendana nae, ataendelea nae, it depends
 
Back
Top Bottom