donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Ukipandishwa/ukishushwa cheo huwezi kufanya kazi hiyo hiyo, hivyo utafanya kazi kulingana na cheo chako.Habari wakuu,
Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC ( Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa majukumu mengine?
Okay mkuuInategemeana na Mh. Rais kama anaona anaendana nae, ataendelea nae, it depends
Mbona sisi walimu tunapandishwa vyeo na bado tunaendelea kufundisha?Ukipandishwa/ukishushwa cheo huwezi kufanya kazi hiyo hiyo, hivyo utafanya kazi kulingana na cheo chako.
Lkn bado majukumu yenu n kufundisha ht muwe kwenye daraja gn, jeshini huko na majukumu yanabadilikaMbona sisi walimu tunapandishwa vyeo na bado tunaendelea kufundisha?