"Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kuzungumza katika majukwaa mbalimbali akieleza kwamba 'No Reform, No Election' akimaanisha kwamba iwapo hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi wa mwaka huu.
Hata hivyo, akizungumza jana (Ijumaa) alipotembelea Ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Tabata Relini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla asisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu utafanyika kama ilivyopangwa na kuwataka wananchi wasidanganywe na kauli za "No Reform, No Election".
Akizungumza leo Jumamosi Februari 22,2025, alipondua Tawi la ADC Kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela mkoani Mwanza, Itutu amesema chama hicho hakitasusia uchaguzi badala yake kimeamua "Kama Mbwai na Iwe Mbwai" katika uchaguzi ujao.
Kwa upande wake, Mkazi wa Nyamanoro na mwanachama wa chama hicho, Hamisa Estam amesema namna pekee ya kupambana na changamoto hizo ni kuongeza ushawishi kwa wapigakura wajitokeze kwa wingi ili uamuzi ufanyike kwenye 'sanduku la kura.'
"Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kuzungumza katika majukwaa mbalimbali akieleza kwamba 'No Reform, No Election' akimaanisha kwamba iwapo hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi wa mwaka huu.
Hata hivyo, akizungumza jana (Ijumaa) alipotembelea Ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Tabata Relini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla asisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu utafanyika kama ilivyopangwa na kuwataka wananchi wasidanganywe na kauli za "No Reform, No Election".
Akizungumza leo Jumamosi Februari 22,2025, alipondua Tawi la ADC Kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela mkoani Mwanza, Itutu amesema chama hicho hakitasusia uchaguzi badala yake kimeamua "Kama Mbwai na Iwe Mbwai" katika uchaguzi ujao.
Kwa upande wake, Mkazi wa Nyamanoro na mwanachama wa chama hicho, Hamisa Estam amesema namna pekee ya kupambana na changamoto hizo ni kuongeza ushawishi kwa wapigakura wajitokeze kwa wingi ili uamuzi ufanyike kwenye 'sanduku la kura.' View attachment 3245466
Ukikubali kuingia kwenye uchaguzi dhidi ya CCM chini ya Katiba hii na Sheria hizi za Uchaguzi basi ili ushinde uchaguzi chini ya mfumo huu wa CCM ni lazima uwe na bunduki na wewe!
Hawa ni vibaraka tu wa CCM wamepewa elfu 20 hapo kila mmoja kufanya upuuzi wao.
Acha utoto kijana kuna mtu katajwa jina? Nimetoq ushauri kwa wanachama wa ADC wewe ni mmoja wao?
Vipo vyama duniani viliondoa vyama tawala mamlakani bila katiba mpya!! Political awareness na utayari wa watu kupiga kura kwa wingi kiasi cha watawala kushindwa la kufanya na kukabidhi dola!! Mifano ni mingi sina haja ya kuitaja.
Haya yote hayaletwi na porojo na kubwabwaja hovyo badala ya strategies na resources!!
Siasa ni sayansi inayohusisha namba, mtaji wa watu na pesa!!
Kamshika pabaya nani? Kuna tatizo kubwa mahali... wakati Lissu anawategemea ninyi kuishika pabaya CCM ninyi mpo vyumbani mmekumbatia hawara zenu mkimtegemea Lissu ndo awashike pabaya CCM!! Hii kitu ndo itamuangusha Lissu kama wananchi wanaotakiwa kuwapa sleepless nights watawala ndo wana mentality hizi za kitoto kama wewe. Poor him!
Wakasisitiza kama vyama hivyo vikubwa wagombea wao wameenguliwa basi wawapigie vyama vingine vidogo vya upinzani ambavyo hawakuenguliwa badala ya kuwa na choyo kwa kupigiana kura vyenyewe vikubwa, kwa kuwa vyama vidogo ni sehemu ya upinzani hivyo wapeleke kuŕa kwa vyama vidogo ....
Vyama hivyo vidogo vya UMD, UDP, UPDP, CCK, ADA-TADEA, AFP, NLD, SAU n.k vimesema vimejizatiti kutoa Upinzani kwa CCM pale ambapo kitakuwa na mgombea wao.
Kuanzia kesho watakuwa wanaanza kampeni na OCD wa Polisi katika maeneo husika wamepewa taarifa kwa barua kuwa vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...
Vyama hivyo rafiki wa CCM wakumbushia kuwa vyama vyote vya siasa viliridhia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa Agosti 2024 waliookutana na mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa OR TAMISEMI..