mimi nkunywa chai 3asubuhi 3 m chana na jiuon havielezeki wacha tu kama ni sumu mie nshakufa na niliamua hivi baada yakuacha masoda haya lol
sinywi nikiwa na hamu na hizo soda nakunywa maji kukata kiu nikizidiwa sana naenda kwenye dompo basikwaiyo soda hunywi kabisa??
sinywi nikiwa na hamu na hizo soda nakunywa maji kukata kiu nikizidiwa sana naenda kwenye dompo basi
prove IT beyond reasonable doughtlakini stone tangawizi hazina madhara nivea
usiogope kuinywa kama una hofia ile mikemikali
prove IT beyond reasonable dought
acheni zengwe lenu bana, kwa ninyi kila kitu kinaweza kuwa sumu. hata kuishi duniani tu ni sumu. ndiyo maana mungu akatuumba na maini na mafigo na mapafu na ngozi. kazi ya organi zote hizo nilizozitaja nia kuchuja hizo sumu mnazozisema na kuzitoa nje ya mwili kama taka mwili ikiwa ni pamoja na mkojo, jasho na hewa tunayopumua nje. so kama ingekuwa dunia kwa asili ni salama Mungu asingeweka hizo organ bana. so natural poison (sumu za asili - ndo kama hizo caffein kwenye chai au kahawa, amonia kwenye nyama, n.k) are not harmful to the body, unless organ zako zime fail. ndo maana ini au figo zikifail huwezi ishi zaidi ya saa 24
Hii ya cancer kutokana na chai mmh kumbe niko kwenye deathrow longtime
Haya maisha kila kitu sumu, sijui tutapataje kupona..Lol
duh, kumbe naweza kuwa hatarini pia?
Sasa ninywe nini, vingine vyote situmii tena, yaani ninywe maji tu?