Addicted na kujichua

NURDIN.HAMIS

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
79
Reaction score
5
Nilikua mdau mzuri sana wa kujichua kuanzia nilipo balehe mpaka namaliza diploma yangu niliamini hiyo ndio ilikua solution pekee ya kujiepusha na zinaa kwa kua nilipenda sana kusoma but sasa nimeanza kuona madhara yake ktk mahusiano yangu ya kimapenzi namaanisha naupungufu mkubwa wa nguvu za kiume yani dk tatu nyingi nimemaliza. Naomba sana msaada wenu wana jamvi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
pole sana kwa tatizo linalokusibu.

kwanza hebu niambie ni muda gani umepita toka uanze kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake?? manake kuna jambo ambalo nafikiri wengi wa wanaume huwa hawalielewi nalo ni kwamba unapoaanza mchezo wa matusi basi huwa endurance haipo kabisa hii husababishwa na kutojiamini, na pia kutokuzoea kufanya huu mchezo.

kiukweli practice makes perfect, kadiri unavyozidi kukaa na mahusiano na mwanamke utajikuta unagain enduarance na itafika mahali itakuwa nuri tu. like wise kwasasa waweza kujikuta unataman kufanya hata mara 4...kila siku lakni itafika mahali automatically grafu itashuka manake mwili umeshazoea.

ushauri wangu kwako, usinywe madawa ya aina yyte ile, fanya mazoezi ya mwili ili uwe na stamina, na kuweza kupata endurance endelea tu kufanya itakuja automatically. usiwe na mawazo eti kwamba ni mastabesheni imekusababishia kwani utakuwa disappointed zaid na mwisho kushindwa kujifanyia self rehab.

acha kuvuta sigar, na kunywa pombe kupitiliza hasa bia sio nzuri kwenye enduarance.
 
Wewe nadhani unatakiwa upatiwe BAN...

 

well said dada mkubwa kwani walio wengi wanaona kama nguvu zimepungua kumbe ni kipururu cha miaka kina msumbua..
 
Nimeanza kuona madhara yake ktk mahusiano yangu ya kimapenzi namaanisha naupungufu mkubwa wa nguvu za kiume yani dk tatu nyingi nimemaliza. Naomba sana msaada wenu wana jamvi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwanza labda nikutoe wasiwasi ndugu...kumaliza haraka haimaanishi kuwa una upungufu wa nguvu za kiume.
Jaribu kufanya zoezi linaitwa Kegel Exercise kwa ajili ya kuimarisha misuli ya uume wako inayohusika kupitisha mkojo na manii...
Ni zoezi jepesi ambalo linafanyika wakati unapokuwa unakojoa, unapokuwa chooni unakojoa jaribu kubana mkojo wako kwa vipindi yaani usikojoe mfululizo.
Njia nyingine ni wakati wa kufanya ngono, ukiona unakaribia kumwaga manii chomoa uume wako na pana manii yasitoke...pumzika kidogo kwa kuendelea kuna manii...ukishapata ahueni endelea na mdinyano.
Fanya hivyo mara kwa mara hadi pale wewe na mwenzi wako mtapokuwa tayari kufika kilele kwa pamoja...
 
davismallory
Today 08:21
#3
Member Array



Join Date : 22nd April 2013

Posts : 40

Rep Power : 313

Likes Received 0

Likes Given 0



Kwa nini umejiunga kuja kutuJOCK na kwa niniusile BAN?
mwenzako kakuambia ana matatizo ya kumaliza mapema akutanapo na mwanamke kwa ajili ya kujichua muda mrefu alioblehe wewe unaleta maPaste ya ajabu
Majibu yake na yako ni sawa tu ukishazoea JF utaacha utoto km mwenzako akishaizoea mashine bila kuiogopa ataikinai tu na kuiona ya kawaida



 
Dah much thx to 2u wanajamvi kwa ushauri wenu mzuri naamini utaniasaidia sana hata kama kuna dawa niko radhi kununua maana mapenzi yetu yako mbioni kuisha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Daaaaah......at least unanipa ahueni.....practice makes perfect bit wanawake wana dharau sana....mi kwa upande wangu nimeacha punyeto miaka 4 iliyopita nikiamini kwamba nkikaa muda mrefu tatizo litakuwa limeisha.... lakini hapana, juzi tu nimekutana na mpenzi wangu kwa mara ya kwanza nikaumbuka....najisikia vbaya sana ingawa najua sitakiwii kukata tamaa as long as machine inasimama kwani wapo wanaoshindwa kabisa kusimamisha.......
Kiukweli nataka kuondokana na tatizo hili ili nami niwe na furaha nisaidieni
 
jaribu zoez hili linaweza kukusaidia,,, unapoamka asubuh hakikisha hujabanwa na haja yoyote ile,, kisha kaa kwny kiti chukulia kwamba umebwana na haja halafu sehem ya kujisaidia iko mbal,, fanya kama unabana mkojo hesabu mpaka tano kisha achia ,,, vuta hewa kwa pua na utoe kwa mdomo,, hakikisha kuwa wakat unabana hautoi wala kuingiza hewa. fanya hivyo mara 25 asubuh na jion na utaona mabadiliko. zoezi hili ni rahs sana kwan unaweza kulifanya ukiwa sehem yoyote bla watu kugundua iwe ofisini,, kanisani nk. NB zoezi hili ni endelevu kwa faida yako zaid
 

Wewe nawe baaaaange aaakh! Usidhani wale wanaouza pweza wajasilia mali tu, ile inaitwa dawa! Hii mihogo wanayouza wazaramo hapa Dar usidhani bure. kunywa maziwa fresh, afu usipende kupiga bao moja kama kuku, woooote waseme lakini bao la kwanza halina ufundi lazima likuponyoke!
Kamata mzigo mmoja mtandike tano uone hilo la tatu na la nne yalivyo mabishi kutoka!!
 

hivi sasa hapa umeongea nini??
so wataka kusema kwamba endurance kwa begginers ni sawa na competitors??
je wataka kusema kwamba begginers huwa na perfection kana kwamba nao ni competitors??
go and read anywhere huwez kumkuta begginer akawa na perforance ama endurance sawa na competitor kwenye zoezi lolote ama mchezo wowote duniani. ila tu kuna begginers ambao wanaweza kuanza wakiwa na greater chances za kuperform better kuliko wenzao ambao wanaanza nao.

kwanza ni lazima ujue muscle atrophy inasemaje?? disuse of muscle nayo ni sababisho la muscle atrophy so unapoanza kuitumia unakuwa umeanza kutibu tatizo. sasa wewe kunywa hizo supu ama hiyo mihogo halafu huna mazoezi ukadhan kwamba utaongeza endurance
 

ndugu yangu unaacha kummind davismallory unanimind mimi, mi nawapa za jandoni hizo mambo ya of disuse, mucle,astrophy sijuwi megawati mimi sijali jamaa anataka umeme!!!!!!
 

nurse uko juu naona wewe unautumia ujuzi wako hongera sana
 
ndugu yangu unaacha kummind davismallory unanimind mimi, mi nawapa za jandoni hizo mambo ya of disuse, mucle,astrophy sijuwi megawati mimi sijali jamaa anataka umeme!!!!!!

mmh! no wonder wanafunzi wengi wanaaca kuwasikiliza waalimu wao madarasani wanakimbilia tuishen za kitaa kulishwa makasa kama haya.

acha kuwaambia watu vitu ambavo sio kweli bana.
 
Is like those say white GOD, white GOD so seeng them going to Israel to see where God lived!
So its the school that teach africans how european undermine africa but but We Tanzanian we undermine ourselves!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…