Addicted with kuhonga!!

<br />
<br />
asante kwa ushaur wako bwana 1st born.
 

Kumbe wewe ndio unahonga boom then semister nzima unaishi kwa kula mihogo na mikate mikavu eeehh
Endelea mkuu kuhonga ukikua utaacha
 
vocha ni kuhonga kweli

.......................Namshangaa,mimi nilihisi labda alihonga nyumba yake,akaja kuhonga nyumba ya babake............akamuua kwa presha,akahonga gari yake,hakukoma tu,akahonga urithi wote...........akapelekwa kwenye maombi,akafanyiwa counciling,lakini bado anaendelea kwa kuhonga mwili wake............................kumbe vocha tu???????-NOT ADDICTED IN THE TRUE SENSE OF THE TERM.
 
Halafu unajinadi addicted kwa kuhonga kumbe unahonga vocha! Jifunze kwanza kuhonga halafu ndio urudi kuomba ushauri kama utaweza kufikia kuwa addicted kabla hujauza mpaka mashamba ya urithi.
 

bure ghali sana kaka, hao madem wa kurushiwa vocha wana gawa uroda je wakinunuliwa cm si watagawa nyuma na mdomoni? angalie usijejiona una bahati kuwabamba kumbe unajichimbia shimo mwenyewe, na kwa kuwa sasa umeshakuwa addicted na kuhonga vocha, sasa mpenzi wa kweli ukimpata akakwambia anataka umnunulie kitu cha thamani si utapiga mbio umwache ukidhani anakuchuna kumbe mapenzi yana gharama zake na ndio hizo sasa!
 
Mwayego honga zikiisha si hawatakuja. Pia lazima kuwepo na wongaji walaghai ili thamani ya waadilifu ithaminiwe.so endelea for the good of the game.
 
kwa vocha tu? sina uhakika kama co wadogo zetu wa primary hao....waache angalau wamalize secondary......wangekuwa ni madada poa huwa hawachukui vocha
 
Halafu munalalamika eti pesa munazopewa ni kidogo haziwatoshi. Kumbe hata hizo munahonga, loh!

Tahadhari usije ukanywewa wewe kama unajifanya 4 x 4 x far.
 
Umeshagundua tatizo lako. Acha mara moja.!
 
kwa vocha tu? sina uhakika kama co wadogo zetu wa primary hao....waache angalau wamalize secondary......wangekuwa ni madada poa huwa hawachukui vocha
hata mimi nina wasiwasi hawa watakuwa 'sidanganyiki' tena wale wenye simu za elfu 20,eti totoz wa high school au chuo umpate kwa VOCHA ? sidhani hapa kuna walakini angalia tu miaka 30 jela sio mchezo na kule kuna wababe weye ndio utakuwa 'sidanganyiki' muulize TID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…