Addicted with majimama

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?
 
Hao majimama ni waaminifu? Naona utakuwa na sababu nyingine ya kuanza kutembea na mijimama, lakini siyo hiyo uliyoitaja.
 
Well
If that is what you want ..
And you're happy ..
Keep doing it.. as long is not somebody's wife
..
Sioni tatizo..
Angalia usimezwe tu... TC
 
Demu wako hakuwa mwamifu, ukamtosa. Je, hao 'majimama' ni waamifu ? What I mean is that ulibambua lebo mwenyewe ?
 
Well
If that is what you want ..
And you're happy ..
Keep doing it.. as long is not somebody's wife
..
Sioni tatizo..
Angalia usimezwe tu... TC

Mhhhh.. unamsapoti kwa hili?
 
Mbona wanaume wengi wa ki africa wanapenda wanawake wanene karibu 75% ya wanaume ila wengi tunapenda nanihino tu lakini kutoka nao na kufuatana nao barabarani hatutaki na tunawaona kuwa ni kero ila dogo unajua kuchagua kula kwa raha zakona lazima uwe mjuzi utawamiliki kwa idadi uitakayo maana watu wengi huwa hawawafikishi mahali panapotakiwa
 

Uamuzi wa busara. Achana na hawa ma sister du. watakuletea uginjwa wa moyo bure.
 
Well
If that is what you want ..
And you're happy ..
Keep doing it.. as long is not somebody's wife
..
Sioni tatizo..
Angalia usimezwe tu... TC

Tatioz hapo wengi wao ni wake za watu. Wasije waka m do huyu dogo.
 
Mhhhh.. unamsapoti kwa hili?
Jamaa anamatatizo na watu wenye1. Umri wake 2. watu wenye miili midogo..Hivi ndivyo vitu viwili ambavyo vinampa stress ...Na ameona solution ni kwendaOpposite na hivyo vitu..Ndio maana nikasema as long his happySioni tatizo ..ngoja niongezee.Play safe..use protection ...
 

hao majimama unakuwa nao kwa usiku mmoja then hakuna commitment au inakuwaje mkuu...halafu umesema unatoka na majimama au wadada wenye miili mikubwa.hao wadada wenye miili mikubwa wanatofauti ipi kiumri na kitabia na ex wako.ukinijibu hapo mkuu nadhani nittaweza sema chochote kushauri...
 
Tatioz hapo wengi wao ni wake za watu. Wasije waka m do huyu dogo.
MmmmhhhNimemwambia angalia usimezwe...Kwa hilo anatakiwa awe mwangalifu sana.Ukisoma poster sio kama hajui..Ila hii ndio njia yake ya kuondoa na Kukabiliana na stress ....Nadhani anajua matatizo yanayoambatanaNa wake za watu....
 
well,ni kwamba,yani kutokana na hawa wa2 kuwa ni wa2 wanaoishi mtaani na mie niko chuon,bac huwa nakutana nao mara moja moja{mara nyng weekend},namalizana nao na hakuna commitment yoyote,then kuhusu hao wadada wenye miili mikubwa,kwa kwel naweza kusema nao ni wakubwa kiumri kwangu.
 
mkuu,ninaposema ctaki stress,namaanisha kwamba,hawa gals wa rika langu,naona ka watanitesa sana na watanifanya niwe commited na mapenz muda wote so solution nloiona ni kukimbilia upande wa pili wa shilingi ambako siumizi tena kichwa changu kufikiria mapenzi as najua kuwa na wa2 wa sample hyo ni just for kukidhi kiu yangu 2 na wao nadhan wanalitambua hlo...na tangu nianze hii tabia naweza kusema mambo yangu hasa ya kishule yananiendea vzr sana coz GPA yangu inapanda kila semister.
 
I have no problem with that ..ndio maana nika kwambia safi..As long you're happy..Ila ningependa kuulizado you always run away from your problems?
 
Mkuu umri wako na majimama duh mbona vitu viwili tofauti. Sidhani kama ni suluhisho hilo maana huko unakoenda usalama wake bado una mashaka. Hao majimama na wadada wenye maumbo makubwa usalama wao ukoje na wako ukoje. Maana unaweza ukawa umeruka majivu then ukaenda kukanyaga moto. U r still too young kujiunga na majimama tena one night stand. Kitu ambacho ni hatari sana kwako.
 
Afrodenzi nafikiri anarun away from the problem na hajaisolve
Tatizo sio kukimbilia kwa majimama na wadada wenye maumbo makubwa tena sometime for one night stand.
Ila hapo ni kuwa unacreate another problem. How long will u be in that situation maana inaweza ikawa ni permanent kwako na ukaona huna haja ya kuwa na galfriend as long as unapata huduma za chap chap kutoka kwa hao majimama. Solve kwanza tatizo lako usikimbilie kutafuta solution ya muda mfupi.
 
Mimi huwa nashindwa kuelewa, hivi hizi stori wanazoleta humu jamvini huwa zinaukweli au ndio sanaa? If its true Vijana wa Tanzania tumekwisha, tusahau kuhusu suala la maendeleo! Utamsikia huyu anasema Mabeki 3, yule bar maid, mwingine anapenda pombe etc duh!
 
Gagurito kitu kingine kinachotisha hapo ni umri wa muhusika. 23yrs na tayari kashakuwa na mpenzi na washaachana na ameshaanza kutoka na majimama na wadada wenye maumbo makubwa inatia shaka.
 
Ukiamua kula haramu chagua iliyonona.
Vingine hawa mabinti wadogo ukitaka kuwa nao kapime bp kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…