arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
well,ni kwamba,yani kutokana na hawa wa2 kuwa ni wa2 wanaoishi mtaani na mie niko chuon,bac huwa nakutana nao mara moja moja{mara nyng weekend},namalizana nao na hakuna commitment yoyote,then kuhusu hao wadada wenye miili mikubwa,kwa kwel naweza kusema nao ni wakubwa kiumri kwangu.
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?
kama alivyosema afrodenzi,fanya kile roho yako inapenda,ila play safe.inaonyesha hutaki kuji commit katika relationship.kwako wewe unataka one night stand huku maisha yanaendelea.uzuri wa majimama:
na wao wanapenda kumalizwa haja zao,kuna kuolewa hapo au kuhongwa kwa wingi,no stress,no introduction kwa ndugu na jamaa.ubaya wa majimama:maybe wengine ni wake za watu,au wamefiwa na waume zao{hujui wamefariki na nini}unaweza ukawindwa na waume zao na wakakufanya lolote lile.kwa upande mwengine wewe ni kijana mdogo kujiingiza na mambo hayo
chumvini vipi? unazamia?Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?
Tahadhari lazima kwa yeyote, awe mdogo au mkubwa. UKIMWI hauna chapa wala hauchagui umbile.Ukiamua kula haramu chagua iliyonona.
Vingine hawa mabinti wadogo ukitaka kuwa nao kapime bp kwanza.
asante kwa mawazo yako mkuu.Tahadhari lazima kwa yeyote, awe mdogo au mkubwa. UKIMWI hauna chapa wala hauchagui umbile.Nani unatembea naye na kwa nini ni uamuzi wako, lakini tahadhari katika ngono ni muhimu na lazima ikiwa unataka uendelee kuchangia hapa.
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana nae,tangu nimeachane nae me nimekua m2 wa kujirusha au kutamani kutoka na wamama wa2 wazima au wadada wenye miili mikubwa,sababu yangu kubwa ya kufanya hivi ni kwamba ctaki kupata stress kama nilizozipata mwanzo.je kuna madhara ya mimi kufanya hivi wakuu maana naona imekua too much?
mara ya mwisho nilipima mwez wa 5 mwaka huu,majibu yalikua fresh.Mh! Unafata ile kitu tu au wanakupa pesa za matumizi ya chuo??? Angalia kijana juzi tumemzika jimama mmoja mke wa mtu alikuwa anagawa kama pipi kwa vijana kama nyie na mume anasubiri tarehe; na vijana mtahani sura zimewatawanyika.