Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi

Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana

Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
 
Napenda kuvuta bhangi alafu nikae mahali pamepoa na kamziki fulani hivi
 
maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi

Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, sipendi kujibana kwenye mambo ya net,

Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha

Movie,series,jf kula ubwabwa samaki. [emoji28]
 
1. wa kunywa soda, fanta nanasi
2. wa kupiga nyeto, na kukataa sex
3. wa kusikiliza WasiWasi ya Banana siku nzima
 
Kusoma Vitabu (mix), kuangalia documentaries( hasa zinazosimuliwà na Morgan Freeman), Hata kama niko moodless.... Nikipiga stories zinazohusiana na astrophysics mambo yanakuwa shwari.
 
usijali binti wanakuja toashaka.
Wewe hata ukibadili ID zako zote lazima nitakujua tu,machoko hua mna miandiko yenu hivi,

Sasa wewe Choko usihangaike sana,mimi sio mfumua malinda,tafuta basha lingine likukaange upoze roho yako.
 
🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi

Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana

Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
Kwangu kupiga chabo na kupiga mkunyeto hizi makitu nilishawahi mpaka kwenda kuombewa na manabii hawa wanaotoa mapepo lakini siku hiyo hiyo niliporudi kazi ikaendelea mpaka leo
 
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi

Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana

Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
kusonya kila nikisoma nyuzi au koment Mbovu nafyonza hatari aise nahisi mndomo umekaa upande dah
 
Back
Top Bottom