sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi
Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, sipendi kujibana kwenye mambo ya net,
Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
Hongera mkuuu ...nisipo ingiza milioni mbili kwasiku sijiskii raha kabisa.
Ipo kundi la sexNasubiri comment ya wale wapiga Puli.
Wewe hata ukibadili ID zako zote lazima nitakujua tu,machoko hua mna miandiko yenu hivi,usijali binti wanakuja toashaka.
Kwangu kupiga chabo na kupiga mkunyeto hizi makitu nilishawahi mpaka kwenda kuombewa na manabii hawa wanaotoa mapepo lakini siku hiyo hiyo niliporudi kazi ikaendelea mpaka leoMaziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi
Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana
Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
kusonya kila nikisoma nyuzi au koment Mbovu nafyonza hatari aise nahisi mndomo umekaa upande dahMaziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi
Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana
Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa siku unatumia gb 2 Hadi 3?.., wakati wengine tunajaribu kudunduliza mb 800 kwa wiki?
Kweli kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app