Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

kadefeghe

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
456
Reaction score
668
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo

Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua

Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.

Wadau karibuni kwa addiction zenu.
 
Sigara
 
Soka. Nilishawahi kuangalia Mechi ya AC Milan Vs Man utd marudio mara mbili Kwa kuunganisha[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…