Addiction

To my surprise......

Speakth the truth....and only the truth....won know the color of a lie.....
Put on the smiles....put off the suprise!
Mzima?
 
MMU ni noma kwa kweli mi niko kijiji huku lakini nimo 2 nachungulia chungulia kazi zikipungua. Huu ni ugonjwa kabisa

Wacha nigugo adress yako nije....
 
Mi siko adiktedi kabisaaaaaaaaaa!

Thats why nna marundo ya viporo vya kazi ambavyo nalazimika kuvimalizia Jumamosi wakati wana MMU wengi wanakuwa wamepumzika na MMU yao. Download: eType.com/f.php
 
Wadau nitoeni ushamba , MMU ndo nini ?
 
Naona huku mazungumzo mengi

MMU kuna umbea sana

mi napenda Matangazo , elimu na Jukwaaa la biashara na uchumi

Sometimes mambo ya watu wazima
 
Haswaaa yaani MTM umelenga haswa kwenye ugonjwa wangu........Hivi Maxence haweziweka some sort of monitoring check...........ambayo itaditect yule member ambaye amekuwa addicted afu ikawa inampa an outomatic healthy BAN?
 
We need that badly....

LIke tuwekewe quota, ukishatumia 4 hours kwenye MMU inabidi usubiri tena hadi kesho

I think that could be done

by .............. beyond expectations
 
We need that badly....

LIke tuwekewe quota, ukishatumia 4 hours kwenye MMU inabidi usubiri tena hadi kesho

I think that could be done

by .............. beyond expectations

Hahahahahaaaaaaaaaa MTM naona ulivyo na uchungu na muda wa mkoloni hahaha.............kwa staili hiyo Taifa litajengeka

I think Max should give this a thought............
 
...'nadhani' unamaanisha counselling Thread kuachana na addiction ya JF, au sio kaka?
 
Haswaaa yaani MTM umelenga haswa kwenye ugonjwa wangu........Hivi Maxence haweziweka some sort of monitoring check...........ambayo itaditect yule member ambaye amekuwa addicted afu ikawa inampa an outomatic healthy BAN?

...ha ha ha, MwanajamiiOne,...addiction ikishafikia hapo inabidi kuomba msaada wa kidakitari.
 
...ha ha ha, MwanajamiiOne,...addiction ikishafikia hapo inabidi kuomba msaada wa kidakitari.

Hapa mkoloni kawasha jenereta ili nichape kazi...ila wapi bana....nakodoa macho jf....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…