Addmsion later{sua}

Hakuna mambo hizo tafuta joining instruction ambayo ipo kwenye moja ya thread za sua hapa jukwaani ili ujue siku na wapi utaripoti baada ya hapo kuna form ya degree registration na medical form c ambazo utatakiwa usijaze,hizo form utazipata kwanye web ya sua ukifungua kwenye link ya joining instruction! ingia Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA)
 
Unanchecheto ya kuja sua, bt kumbuka degree ya sua huwa inasomwa
 
Unanchecheto ya kuja sua, bt kumbuka degree ya sua huwa inasomwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…