dazu JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 365 Reaction score 76 Apr 6, 2011 #1 Nimeangalia mechi ya Madrid na Totenham jana, nimegundua kwamba Adebayor bado ni striker hatari sana, Alikua anabaniwa tu pale man city, kapiga bao 2 safi sana za kichwa. Nadhani Mzee Wenger anammezea mate kwa sasa.
Nimeangalia mechi ya Madrid na Totenham jana, nimegundua kwamba Adebayor bado ni striker hatari sana, Alikua anabaniwa tu pale man city, kapiga bao 2 safi sana za kichwa. Nadhani Mzee Wenger anammezea mate kwa sasa.