DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
ADEL AMROUCHE AMEIGHARIMU TFF USD 10,000
Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) limeipiga Faini ya USD 10,000 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na tuhuma za Kocha Adel Amrouche Kwa Shirikisho la mpira wa Miguu la Morocco (FRMF)
Kocha Adel Amrouche aliituhumu Morocco Kupanga Matokeo ya mechi na waaamuzi hivyo kuvunja Kanuni za maadili za CAF Kifungu 82,83,84 na 132 na Kupeleka kufungiwa mechi 8.