watamkata kwenye mshahara wakeADEL AMROUCHE AMEIGHARIMU TFF USD 10,000
Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) limeipiga Faini ya USD 10,000 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na tuhuma za Kocha Adel Amrouche Kwa Shirikisho la mpira wa Miguu la Morocco (FRMF)
Kocha Adel Amrouche aliituhumu Morocco Kupanga Matokeo ya mechi na waaamuzi hivyo kuvunja Kanuni za maadili za CAF Kifungu 82,83,84 na 132 na Kupeleka kufungiwa mechi 8.View attachment 2878088
Pamoja na kugharimu kufungwa Tatu bila na vilevile amechukua mamilioni ya pesa ama kweli huyu ni tapeli tu sio kocha .ADEL AMROUCHE AMEIGHARIMU TFF USD 10,000
Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) limeipiga Faini ya USD 10,000 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na tuhuma za Kocha Adel Amrouche Kwa Shirikisho la mpira wa Miguu la Morocco (FRMF)
Kocha Adel Amrouche aliituhumu Morocco Kupanga Matokeo ya mechi na waaamuzi hivyo kuvunja Kanuni za maadili za CAF Kifungu 82,83,84 na 132 na Kupeleka kufungiwa mechi 8.
View attachment 2878088