Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Ninaowafatilia naijua mikataba yaoKuweka wazi mkataba ni uhuru wa msanii,,kwani mikataba ya wasanii wote duniani unaijua?
Adele ni jina kubwa pia ndio msanii kwasasa ameingiza mshiko wa kutosha .......huyo kiba anajulikana na timu vigodoro kila akitoa wimbo unavuma mda mfupiwakati msanii ali kiba hajaweka bayana mkataba wake na sony unagharimu kiasi gani,huko majuu msanii Adele amevunja rekodi kwa kusaini mkataba wa gharama zaidi kuwai kutokea duniani. Hii inaonesha ni jinsi gani kampuni hiyo ya sony inataka kuwanyonya wasanii wachanga kama Alikiba kwa kuifanya mikataba hiyo kuwa ya kisiri huku wasanii wakubwa mikataba yao inawekwa bayana. kwa mambo kama haya napenda kumpongeza Diamond platnumz kwa maana mikataba yake mingi huwa inawekwa bayana hii inaonesha ni jinsi gani kakomaa na menejimenti yake iko kikazi zaidi.. #mckonjetv
ok blaza am on my wayHaya kachukue buku tatu yako wcb
nilichomaanisha ni kwamba. Mikataba ya wasanii wachanga kama alikiba huwa wanaifanya siri kwa sababu ikiwekwa wazi watajulikana ni jinsi gani wanawanyonya wasanii wachanga ila ya wasanii wakubwa inawekwa waziiii..!Adele na Kiba duh ni kama newyork na manzese hata sony wanalitambua hilo
Ninaowafatilia naijua mikataba yao
Alikiba ana uchanga gani kwenye muziki?!?!nilichomaanisha ni kwamba. Mikataba ya wasanii wachanga kama alikiba huwa wanaifanya siri kwa sababu ikiwekwa wazi watajulikana ni jinsi gani wanawanyonya wasanii wachanga ila ya wasanii wakubwa inawekwa waziiii..!
kimataifa alikiba bado sana. inabidi akaze sana kutafuta kolabo za kimataifa ili atoke zaidi.Alikiba ana uchanga gani kwenye muziki?!?!
Kuweka wazi mkataba ni uhuru wa msanii,,kwani mikataba ya wasanii wote duniani unaijua?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Lazima tuone collable la Kiba na Adele mwaka huu. Wote Ni wasanii wa Sony, labda saa hizi wanachat WhatsAap Tu. Mambo ya kufuta vumbi Diamond atasubiri sana
ukiona kuna usiri basi ujue kuna unyonyaji ndani yakeDunia ya sasa sio ya siri tena..