Dogo anatakiwa akaage kwa bibi, nyota ndo inasumbua hapo, kipaji yuko mbali sana.Beka is Unique and talented sijui tatizo ni nyota
Nadhani pia industry yetu bado haijajikita vyema kuwasaidia wasanii ,wakikusaidia basi ujue utanyonywa au utabebeshwa unga ,Dogo anatakiwa akaage kwa bibi, nyota ndo inasumbua hapo, kipaji yuko mbali sana.