Ademola Lookman Amestahili tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka kwenye Tuzo za CAF 2024?

Ademola Lookman Amestahili tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka kwenye Tuzo za CAF 2024?

Tuzo ya mchongo hiyo,ina mana hawakumuona Stephen Aziz KI msimu jana,kwanza ni kiungo mshambuliaji top scorer wa NBC PL, league ngumu na bora baran Africa,kachukua ubingwa wa NBC PL,amechukua ubingwa wa CRDB FA CUP. wao wamekalili tu kwa LOOKMAN kwa vile yupo ulaya. KI ameshiriki ktk safari ya kufika robo finaly CAF CHAMPIONS LEAGUE huku goli lake likikataliwa ki makusudi kabisa. AFRICA YANGU MATESO YANGU.
 
Siku hizi Africa hakuna wachezaji wa maana, kama lookman ndiyo mchezaji bora unategemea Africa itachukua kombe la Dunia????
Mbona huko nyuma kulikuwa na hao wache,aji wazuri na kombe hamna.
Tatizo africa sio wachezaji tatizo utawala
Mchezaji anaitwa timu ya taifa eti kisa anacheza ulaya ajikatie ticket mwenyewe. Sii u wege huo
 
Look at this man he is well deserved
20241216_235547.jpg
 
Back
Top Bottom