Wewe ulitaka apewe Djigii Diara au Mamnyeto?Siku hizi Africa hakuna wachezaji wa maana, kama lookman ndiyo mchezaji bora unategemea Africa itachukua kombe la Dunia????
Mambo ya Afrika hayo, kwani wasingempa tu Mo.
Mbona huko nyuma kulikuwa na hao wache,aji wazuri na kombe hamna.Siku hizi Africa hakuna wachezaji wa maana, kama lookman ndiyo mchezaji bora unategemea Africa itachukua kombe la Dunia????
Apewe mumeo ZimbweWewe ulitaka apewe Djigii Diara au Mamnyeto?
An Everton reject