TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Aden your where more than a Brother to me and I believe anyone who seeked your help or advice [emoji817] always there! Aden may your Gentle Soul rest in Eternal peace
Zaidi ni bibi Makula (mama yao) ndiye mtu wa watu, anacheka na kila mtu, amesaidia wengi kwenye ajira kupitia watoto wake.
Sawa
 
Pole sana kwa Familia kwani Marehemu aliugua sana na nakumbuka hata miaka ya nyuma 'alishazushiwa' mno Kifo ila aliendelea 'Kudunda' tu hivi.
 

Hili tusi zito sana
 
Siyo kweli Mdogo wake Nasson (Nasser) bado yuko, dada yake Mrs Kiboko naye bado yupo.
Acha ubishi wa kirofa hiyo familia mm naijua mnoooo mwaka 1989 baada ya baba yao mzee Adolf MWAMUNYANGE kufariki mm nilikaa pale nyumbani maana Nina unasaba na ile family so naongea with vivid evidence Nasser alifariki siku nyingi kabla hata mdogo wake Looser hajafariki
 
Jana nimekutafuta sijakuona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…