Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,621
- 2,920
Je, wanao unasaba na Familia ya mwansasu?Acha ubishi wa kirofa hiyo familia mm naijua mnoooo mwaka 1989 baada ya baba yao mzee Adolf MWAMUNYANGE kufariki mm nilikaa pale nyumbani maana Nina unasaba na ile family so naongea with vivid evidence Nasser alifariki siku nyingi kabla hata mdogo wake Looser hajafariki
Yaani ni utovu mkubwa wa maadiliYaani wewe umesema umewahi kaa na hii familia..mbona unaninanga Sana mkuu😀
Mama yao ukoo wake upo kwa Mwaijibe/Mwamakula/Mwambije...Je, wanao unasaba na Familia ya mwansasu?
mkulima anavuna mazao yake, msimpangie wakati wa kuweka ghalani, makapi atatupa, yaliyozaa ataweka stooMwaka juzi walizika mdogo wao mwingine alikuwa anaitwa Ken
Unamaana gani mkuu?!!!mkuima anavuna mazao yake, msimpangie wakati wa kuvuna
"Mungu" =mkulimaUnamaana gani mkuu?!!!
Dah!😀"Mungu" =mkulima
"Aden"= mazao
"Dunia/ulimwengu"= shamba
"Ghala" =mbingini /jehanamu
"mkulima hapangiwi p kuweka mazao, anajua la kuweka ghalani na la kuchoma,