Adha ya kamata kamata pikipiki Kariakoo

Adha ya kamata kamata pikipiki Kariakoo

king kakaa

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
25
Reaction score
79
Habari wakuu mimi ni kijana naishi Mikoa y kanda ya juu Kusini nimekuja Dar es Salaam Kama miezi mitatu iliyo pita namaanisha kukaa bila kuondoka Kwa muda mrefu.

Japo huwaga nakujaga nakaa wiki nikimaliza kilicho nileta naondoka nilifanya hivi kwa muda mrefu.

Sasa na kero moja niliyo ishuhudia mara kadhaa ikijirudia hili swala la ukamataji pikipiki Kama hujavaa kofia ngum maeneo Sugu ni.

Barabara ya Uhuru kuanzia Karume hadi makutano ya mtaa wa Uhuru na Sikukuu.

Kamata, darajani na daraja la Keko (flyover) na pale juu ya kamata Kama unaenda kurasini kabla hujafika Puma.

Kuna hawa jamaa huwa sio askari police japo wana backup ya police huwa wamefanya ukamataji ndio kazi yao na wamekua kero sana na huwa wanakuja bila taadhari upo kwenye pkpk inatembea wao wanarukia nkuchomoa funguo wamekua wakisababisha ajali kizembe sana.

Nimeshuhudia ajali zaidi ya 4 na kunasiku walikutana na mbabe wakachezea kipigo napenda wanavyo jali uslama wa chombo naa mwendeshaji ila kero ni namna wanavyo tekeleza jukum hilo.

Kwa ugeni wangu ikabidi niwaulize boda boda wakasema kwanza wale sio maaskari wanitwa Nyungu wengi wao walikua bod boda ila wakajiongeza wanakula na mapolis yapo makundi mawili tofauti ya hao nyungu.

Ombi Kwa serikali kwanza hawa Nyungu wanajiahatarishia maisha Kwa namna yeyote ile kwasababu hawa boda wamewachoka nanwqnawajua vizuri pili ili swala Kama maaskar ndio jukum lao basi wafanye wao Kwa weledi.

Kwasbabu hawa vijana waboda usiku ukiwakuta wengi wao ndio wanatafuta ridhiki sana wanatoka mitaani kuja mjini kubeba abiria mshikak mfano mbagala na goms abiria mmoja 2000 alafu nyungu akikukamata anataka 20 elfu mpaka 5000 kweli hii ni sawa.
 
1. Vaa helmet
2. Angalia bodaboda wako awe full (reflector,viatu vya kufunika sio makubazi)
3. Epuka wanaoweka singeli kwenye honda zao, wale viduku..utasikia "chuk chuk chuk" (achana nae)
4. Honda utakayopanda iwe na side mirrors
5. Epuka mishikaki

Usalama kwanza.
 
Issue si kuvaa helmet wala pikipiki kukamilika ukinikuu vizuri kunamahali nimesema napenda wanavyo jali uslama wa chombo na mwendeshaji kero yangu n aina ya ukamataji

Mfano kuna walitukamata mimi kofia ngum nilivaa pamoja na dereva japo nilikua naifuta jasho ingali pikipiki ikiwa inaenda ghafla ikaja boda boda wamepakizana wawili wakatu block


Tukasimama hoja yao ikawa ya kitoto nika wauliza uhalali wakutu sahihisha ingali wao hizo kofia ngum hawana
 
Back
Top Bottom