A
Anonymous
Guest
Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa kwamba chuo chetu hakijajisajili katika mfumo mpya wa ukataji leseni.
Hivyo naomba niripotie hii kwa mamlaka husika ili suala hili lipatiwe ufumbuzi nasisi tupate leseni tukajitafutie riziki.
Hivyo naomba niripotie hii kwa mamlaka husika ili suala hili lipatiwe ufumbuzi nasisi tupate leseni tukajitafutie riziki.