Haaahaaa,Kwa hiyo tunatemekea Wasanii na Show zao.Nimekwambia nataka nione huyu msanii ambaye Wengi wanampa kichwa kuwa Amafunga na kufungua Mwaka kama Media zinambeba au Uwezo unajieleza.Kuhusu kuhudhuria Show ni Mazingira tuu lakini Toka Oldschool BongoFlevaSawa tumejua nawewe leo umehudhuria show
Saa nne hii bado sana
Halafu bosi yaan mnaiteje migebuka city, hilo neno city inatakiwa liendane na majina yaliyo kaa kizngu mfano green city
Mimi nataka kuangalia tuu,Darassa kama ataweza kufanya show ya Nguvu au ndiyo Style yakuja wameshalewa Pombe na Sigara Kubwa.Mwaka 2002 niliwah kuwasubir wanaune tmk family na daz nundaz pale dhadho hall mby wa kaanza kupanda stagin 3+ usiku alafu wakaja wamelewa hata kuskika mike hawawezi niliboreka sana ilikuwa ndo siku yangu ya mwisho kupenda show za hawa wasanii
Fanyeni mambo kwa kiasi,hivi hilo somo linapatikana Agano lipi.Biblia siyo yakuielewa siku moja ndugu yangu.Wakati unasubiria Show fungua biblia kwenye simu yako,angalia andiko ambalo lusifa alikuwa malaika mkuu wa sifa baadae akakengeuka na kuwa shetani,tafakari neno weee alafu chukua hatua
Asee ashapanda!!?Nimepiga vyombo vyangu Sipendagi kuimbishwa,Mara tunaimba wote,sijui piga kelele.Ninachofanya ni research fupi tuu
Wacha urongo, Wanaume Family haikuwepo 2002Mwaka 2002 niliwah kuwasubir wanaune tmk family na daz nundaz pale dhadho hall mby wa kaanza kupanda stagin 3+ usiku alafu wakaja wamelewa hata kuskika mike hawawezi niliboreka sana ilikuwa ndo siku yangu ya mwisho kupenda show za hawa wasanii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniWakati unasubiria Show fungua biblia kwenye simu yako,angalia andiko ambalo lusifa alikuwa malaika mkuu wa sifa baadae akakengeuka na kuwa shetani,tafakari neno weee alafu chukua hatua