Ebooooo kwani ubora wa msanii unatokana Na show zake anavyofanya au Muziki wake anaotoa?!Haaahaaa,Kwa hiyo tunatemekea Wasanii na Show zao.Nimekwambia nataka nione huyu msanii ambaye Wengi wanampa kichwa kuwa Amafunga na kufungua Mwaka kama Media zinambeba au Uwezo unajieleza.Kuhusu kuhudhuria Show ni Mazingira tuu lakini Toka Oldschool BongoFleva
Nshajua una umri gani.Wasalaam,napenda kuuliza kwa wale wapenda kushuhudia show za live kwa Wasanii wa Bongo fleva ni muda gani huwa wanaanza kuperform Maana nimelipa kiingilio nifanya analysis ya Msanii Darasa nimeambiwa atafanya show pande za Migebuka City.Lakini naona kama hakuna mzuka wowote hapa nilipoingia sijui show itapigwa majogooo.Naendelea kuwapa kinachoendelea kwa ujio wa XXL na Msanii Darassa kipande hichi kama huwa Media zinakuza au zinawapamba hawa Wasanii wetu
Haaaahaaa,umri siyo tatizo sehemu ambayo alikuwepo ndiyo eneo langu la kujidai.Pamoja na hayo hakuna Msanii ambaye anaweza kupiga live band kwa kutumia DJ.Nshajua una umri gani.
Atakaye imba ni darasa au cd tu ye atafuatisha kwenye mike iliyozimwa?
Kama haikuwepo ila combination ya hao wasanii ndo ilikuwepo ndo nimechanga wasaniiWacha urongo, Wanaume Family haikuwepo 2002
Mkuu nimefika the wallet hapa em jamba nione uwepo wako maana kuna nyomiHapa Karibu na Ofisi za Bima,The Wallet Lounge Kiwanja kipya toka Xmass kilizinduliwa.Karibu sana hapa
Jiji la migebukaSaa nne hii bado sana
Halafu bosi yaan mnaiteje migebuka city, hilo neno city inatakiwa liendane na majina yaliyo kaa kizngu mfano green city
EeeehJiji la migebuka
Duu hadi kigoma kuna lounge?kweli nchi ya viwanda imeendeleaHapa Karibu na Ofisi za Bima,The Wallet Lounge Kiwanja kipya toka Xmass kilizinduliwa.Karibu sana hapa
GebukazEeeeh
Hii sawa
Hivi migebuka kwa kizungu yaitwaje!?
HahahahaaGebukaz