Adha ya kutotii sheria bila shuruti-Kenya style

Adha ya kutotii sheria bila shuruti-Kenya style

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,967
Reaction score
2,147
1_One.jpg
2_Two.jpg
3_Three.jpg
4_Four.jpg
5_Five.jpg

Kama huna kosa/ jinai au huna mbio za kutosha, kwa nini uvikimbie vyombo vya dola?
 
Ukisikia kuwa miafrika ndivyo tulivyo usikatae. Sasa huyo bi kizee ambaye hana hata jiwe mkononi nguvu kubwa yote hiyo ya nini?
 
nimeupenda huo ujasiri wa mwanamama mtuhumiwa...siyo kukamatwa kama kuku wa kisasa lazima uwashughurishe japo kidogo!
 
Ukisikia kuwa miafrika ndivyo tulivyo usikatae. Sasa huyo bi kizee ambaye hana hata jiwe mkononi nguvu kubwa yote hiyo ya nini?

Ulitaka aachwe bure baada ya kuvunja sheria? fahamu sheria haijui umri, halafu hapo wamefanya heshima kwa kuwahusisha askari wa kike.
 
Back
Top Bottom