Adha ya mvua imenifanya nikimbie uswazi

Adha ya mvua imenifanya nikimbie uswazi

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Adha ya mvua jijini imenifanya nimkimbize wifi/shemeji yenu uswazi maana nimeona jamaa wanao toa msaada wa kumvusha kwenye madibwi kama wanafaidi hivi. Bora nimsogeze mjini tu.
mvua.jpg

Hapa jamaa akiwa amebeba je hamuoni kama jamaa anafaudu kimtindo? Angalieni mkono huo.
 
Dah...mpwa hii kali kumbe ndo ukiibiwa hivi hivi!
 
Ahh wapi..!
Mtu wa kijijini huyo, hajui a wala be ya hayo maeneo aliyoshika!
 
Ahh wapi..!
Mtu wa kijijini huyo, hajui a wala be ya hayo maeneo aliyoshika!
Mmmmmmh!!! Wapi bwana PJ hawa wanapiga over-return, don't put them nearby your kipusa
 
Siku mbili tatu nimeona hakuna mvua nimeamua arudi tu uswazi maana gemu za uswazi ni tamu sana
 
Adha ya mvua jijini imenifanya nimkimbize wifi/shemeji yenu uswazi maana nimeona jamaa wanao toa msaada wa kumvusha kwenye madibwi kama wanafaidi hivi. Bora nimsogeze mjini tu.
mvua.jpg

Hapa jamaa akiwa amebeba je hamuoni kama jamaa anafaudu kimtindo? Angalieni mkono huo.

Ha ha ha ha ha si wanambemba tu mgongoni...anafaidi nini hapo? 🙂 LOL! Karaha za bongo hizo! Mvua ya dakika 20 tu basi jiji zima linafurika.
 
Back
Top Bottom