Adha ya Mwendokasi: Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?

Adha ya Mwendokasi: Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?

Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?


  • Total voters
    6

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi?

PIGA KURA YAKO KULETA MABADILIKO.
 
Daladala zisirudi zinasababisha foleni sana Dar es salaam. Jamaa wa daladala ndiyo sababu namba moja ya jam asubuhi na jioni sababu ya kuegesha nje ya vituo vyao na kusimama pasiporuhusiwa. Mwendokasi iboreshwe.

Tena nimeshukuru sana kuona ujenzi wa mwendokasi umeanza Ubungo Mwenge-Posta na Mwenge Bunju
 
Back
Top Bottom