Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi?
Daladala zisirudi zinasababisha foleni sana Dar es salaam. Jamaa wa daladala ndiyo sababu namba moja ya jam asubuhi na jioni sababu ya kuegesha nje ya vituo vyao na kusimama pasiporuhusiwa. Mwendokasi iboreshwe.
Tena nimeshukuru sana kuona ujenzi wa mwendokasi umeanza Ubungo Mwenge-Posta na Mwenge Bunju