Adhabu au mazoezi?

Adhabu au mazoezi?

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
i1253_761814382412491365149991325041505813856n.jpg

 
Mh! Hii ni Too Much! Woe to the Earth!
 
Sio mazoezi, ni adhabu wanayopewa watoto kama wameiba au kudokoa kitu.
 
mbona mambo madogo tu hayo!............
 
huyu muuaji, kumbe uhindini kuna abuse za hivi. tumshukuru Mungu kwetu hakuna ushetani kama huu.
 
Safi kabisa hayo ni mazoezi yakushika bunduki isije ikakuponyoka,goooood
 
hii ni adhabu loh!!! wakitoka hapo tuvidole tumevunjika kwa kweli!!!
 
Back
Top Bottom