Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa dhambi walioifanya, utatembeaje na mke wa nduguyo kisha usiadhibiwe?Kwanini waazibiwe?
Kwani mafundisho yanasemaje?Kwa dhambi walioifanya, utatembeaje na mke wa nduguyo kisha usiadhibiwe?
Aliye fumania ndie mwenye mkeHujasomeka Mkuu, aliyefumania ndio mwenye mke au mwenye mke ni mwingine?
Kuna mpangaji mwenzetu kamfumania kaka yake (toka nitoke) akizini na mke wa mdogo wake.
Je ni adhabu gani ambayo anastahili mke wa huyu mpangaji wetu na pia kaka wa huyu mpangaji wetu?
Adhabu za hapa duniani na pia mbinguni?
Adhabu ya mbinguni mimi siwezi kujua, ila mungu pekee, lakini pia duniani sidhani kama wanastahi kuadhibiwa koz wao ni watu wazima na walikubaliana, ila cha kufanya ni kumshauri mwenye mke aamue kumruhusu mwanamke waishi na huyo mdogo wake kwani inaonyesha mdogo wake kapendwa zaid kuliko yeye.Kuna mpangaji mwenzetu kamfumania kaka yake (toka nitoke) akizini na mke wa mdogo wake.Je ni adhabu gani ambayo anastahili mke wa huyu mpangaji wetu na pia kaka wa huyu mpangaji wetu?Adhabu za hapa duniani na pia mbinguni?