britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Jamaaaaa alikamatwa ana dawa za kulevya,,,, akaambiwa achague adhabu kati ya kunyongwa, kupigwa risasi, au kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi yaan (HIV),,,,,
Jamaa: Samahani naomba mtoke nje nfikirie kdogo af nikiwa tayari nitawaiten,,, wakatoka,,
Jamaa :. Kwa kujiamini kabisa!!! Haya njooni,,,,
Polsi : Mmmmmh tuambie umechagua adhabu gani????
Jamaa :kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi,,,,
Polsi : Pale pale wakampiga jamaaaaa sindano ya virusi vya ukimwi!!!! Haya bhanaaa upo huru,,,,,,,,,
Jamaa : Akacheeeeeeeeka,,
Polsi : Vp mbona unacheka???
Jamaa : Mlipotoka nje nilivaa kondomu,,,,,, [emoji2]