kwa kiasi fulani matatizo tunayaleta wenyewe wenye ndoa! hebu fikiria unamleta mdogo wako toka kijijini humpakingii mpango wa maendeleo wa maana unamuweka kama mfanya kazi wandani kibaya zaidi unamtenga na familia yako kwa kiasi fulani licha ya kumwamuru amuhudumie kila kitu shemeji yake! unategemea nini? achilia mbali unaruhsu uvaaji wa ajabu ajabu ndani kwako na closed joke na mizinga au msaada wa moja kwa moja shemeji kwa shemeji uafikiri nini kitatokea? samehe kwa kua ukihesabu huna mume wenzako watamchukua na kaa ukijua wanawake siku zote ni wapotezaji zaidi kuliko wanaume samehe haraka sana (7x70=490-1=489 bado zipo za kusamehe wewe unashindwaje kuvumilia?