Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sijui hii ilitokea wapi hasa.
Ila jamaa wanaongea Kisukuma. Hivyo huenda ni huko Usukumani.
Ni adhabu ya kipumbavu sana.
Kama shida ni uzinzi, walioshiriki ni wawili [kikawaida].
Sasa iweje adhabu apate mmoja tu?
Halafu huyo ‘mzinzi’ naye ni bwege tu.
Ni bora kufa unapigania heshima yako kuliko kuishi kwa kudhalilika namna hiyo.
Mimi hunichapi hivyo popote. Tutapigana. Ama utaniua au utaumia wewe.
View: https://youtu.be/NegtztrIDI0?si=2a7wxO7bNURfUeL5