Adhabu mavazi ya Zahera utata mtupu

Ud Songo ndo wamewapa tff na bodi ya ligi hasira hizi zote

Poleni sana tff na bodi ya ligi
 
Tanzania ndio nchi pekee kuna mashabiki wa timu flan kocha wao anavaa kihuni(hovyo) halafu wanamtetea[emoji28]
 
Ushabiki mbaya sana, sasa hapo wanaotetea wanatetea nini? Kocha kuvaa nguo za kulalia sijui za kuendea beach ndio aingie nazo kazini, au yeye hajui kuwa anapokuwa kwenye mechi kama kocha yupo kazini/ofisini!!

Kusoma sheria hajui basi hata aangalie picha namna makocha wa nchi zilizoendela kimpira wanavyovaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…