Imekuja wakati Muafaka. Msongamano wa wafungwa magerezani, ni gharama kwa serikali na jamii. Mara anapomaliza kifungo tunajiuliza je amerekebishika? Jibu ni hakuna kitu alichorekebishwa.
Wanaishia kuambukizana magonjwa kwa sababu ya Hali duni za magerezani etc.